Mkurugenzi wa Education For Disabled Tanzania (EFDT), Emelia Kabika (wa kwanza kulia), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Programu ya NIELIMISHE NIJIKOMBOE. Programu hii, ambayo imeanza rasmi leo tarehe 26/06/2024, inalenga kuwawezesha wanawake wenye ulemavu kwa kuwapa maarifa na utaalamu katika sekta ya urembo. EFDT itashirikiana na SHIVYAWATA na Styles Avenue Beauty Salon ili kuhakikisha mafanikio ya programu hii na kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa washiriki wake.
Leave a Reply